Serikali yatakiwa kupiga msasa kliniki na maduka ya dawa ili kuwapata wezi wa dawa za umma

  • | Citizen TV
    232 views

    Serikali ya kaunti ya Trans-Nzoia imetakiwa kuanzisha zoezi la kuwapiga msasa wamiliki wa maduka ya kuuza dawa karibu na hospitali za umma, kabla ya kuwapa leseni ya kufanya biashara. Viongozi kutoka kaunti ya Trans-Nzoia wanasema hatua hiyo itapunguza uwezekano wa kuwalazimisha wagonjwa kununua dawa katika maduka hayo.