Serikali yatakiwa kurekebisha mpango ya kufadhili wanafunzi wanaotarajia kujiunga na vyuo vikuu

  • | Citizen TV
    304 views

    Serikali imetakiwa kurekebisha mpango ya kufadhili wanafunzi wanaotarajia kujiunga na vyuo vikuu nchini ili kuwezsha wanafunzi wanaotoka Jamii zisizojiweza kupata elimu.