Serikali yatakiwa kushirikisha wadau wengine katika sekta ya elimu ili kufanikisha ntaala wa CBC

  • | Citizen TV
    120 views

    Serikali imetakiwa kushirikiana na wadau wengine wa sekta ya elimu katika kutekeleza Mtaala (CBC). Hii ni baada ya wanafunzi waliofanya mitihani yao ya shule za msingi na upili kuaga mfumo wa elimu wa 8-4-4 ambao umekuwepo kwa miaka 38. Baadhi ya washikadau na viongozi wa kidini wamesema mfumo huo mpya wa elimu utafaulu wakati wadau wote katika sekta ya elimu wataungana mkono.