Serikali yatakiwa kutunga sheria za kuwalinda wanawake

  • | KBC Video
    2 views

    Shirikisho la Mawakili wa Kike nchini Kenya (FIDA) limekashifu vikali ongezeko la visa vya ukatili dhidi ya wanawake kwenye mitandao ya kijamii, likionya kuhusu hatari zinazowakabili wanawake katika mazingira ya kidijitali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News