Serikali yatakiwa kuwapa wananchi kipau mbele

  • | West TV
    9 views
    Waumini wa dini ya kiislam katika kaunti ndogo ya Lugari wamejiunga na wenzao kote ulimwenguni kuadhimisha siku kuu ya idd ul fitri huku wito ukitolewa kwa serikali kuyapa kipaumbele masuala muhimu yanayowahusu wananchi