- 2,987 viewsDuration: 2:15Serikali sasa inasema itaanzisha faini ya papo hapo kwa wanaovunja sheria za trafiki, huku Rais William Ruto akitangaza mpango wa kutumia kamera za trafiki kuwanasa wanaokiuka sheria barababarani, kutoka mwezi aprili mwaka huu.