Serikali yatangaza hatua za kuboresha utendakazi wa polisi

  • | KBC Video
    296 views

    Waziri wa usalama wa kitaifa Profesa Kithure Kindiki ametangaza mpango wa kushughulikia maslahi ya maafisa wa polisi ili kuwapa motisha katika utendakazi wao. Miongoni mwa Masuala yatakayojadiliwa katika vikao vitakavyojumlisha maafisa na umma ni mishahara yao ambayo waziri kindiki amekiri kua ni ya kiwango cha chini. Waziri huyo alizungumza alepotembelea chuo cha mafunzo cha maafisa wa polisi eneo la Embakasi akiandamana na inspekta jenerali wa polisi Japhet Koome akiongeza kuwa katika siku za usoni polisi hawatahusishwa katika shughuli za kisiasa ambazo hazipo kwenye maelezo ya kazi zao. Maslahi ya maafisa hao yanatarajiwa kushughulikiwa hivi karibuni kama jambo la dharura.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #usalama #News #polisi #kithurekindiki