Serikali yatangaza kamati ya kushughulia mafuriko

  • | Citizen TV
    1,032 views

    Serikali sasa imebuni kamati maalum ya kitaifa kushughulikia dharura za mafuriko, na kutangaza mikakati ya kukabiliana na athari za mvua kubwa zinazoshuhudiwa nchini. Rais William Ruto akiagiza mipangilio hii kutekelezwa kwa dharura huku akiwataka wakenya kuwa waangalifu.