Serikali yatangaza kuwa SHIF itashughulikia wagonjwa wenye matatizo ya kiakili vito mbalimbali

  • | NTV Video
    133 views

    Serikali imetangaza kuwa bima mpya ya afya ya jamii (shif) itashughulikia wagonjwa wenye matatizo ya kiakili katika vituo mbalimbali vya afya. Haya yanajiri wakati nchi inatikiswa na visa vingi vya masumbuko ya kiakili yanayosababisha ugomvi na maafa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya