Serikali yatenga Ksh.300m za kuwajengea makao

  • | Citizen TV
    1,274 views

    Serikali kuu imetenga shilingi milioni mia tatu ili kuwajengea makao mapya waathiriwa wa mafuriko kutoka eneo la Maai Mahiu. Naibu rais Rigathi Gachagua ambaye alijumuika na wenyeji wa eneo hilo katika misa ya wafu, ameweka wazi kuwa serikali itawapa makao mbadala waathiriwa hao.