Serikali yatenga shilingi bilioni 5k vijana | Vijana 70 kila wadi kupokea elfu hamsini

  • | Citizen TV
    385 views

    Serikali ina mpango wa kutoa shillingi elfu hamsini kwa vijana 70 katika kila wadi nchini ili kuwawezesha kuanzisha biashara. Rais William Ruto sasa amesema kwamba jumla ya shillingi billioni 5 zitatolewa Kuanzia mwezi ujao kwa ushirikiano na shirika la Benki kuu. Rais amesema kuwa hiyo ndio njia ymuafaka ya kutatua janga la ukosefu wa ajira nchini