- 951 viewsHuku wadau wa sekta ya usafiri wakisitisha mgomo dhidi ya bei za juu za mafuta, serikali ya Rais William Ruto imejitokeza kutetea jinsi ilivyoshughulikia mgogoro huo. Huku Rais akiwakosoa wale anaosema wanajaribu kujinufaisha kisiasa kutokana na mgogoro wa kitaifa, naibu wake Kithure Kindiki alitetea nafasi yake katika kufanikisha suluhu ya kusitisha mgomo na maandamano yaliyotokea