Serikali yatetea ' Kazi Majuu'

  • | Citizen TV
    159 views

    Huku serikali ikiendelea kukemewa kwa madai ya kuwalaghai wakenya kwamba imewatafutia nafasi za ajira ughaibuni, Katibu katika idara ya mafunzo ya kiufundi Esther Muoria amewataka wanaotilia shaka juhudi za serikali kuwatafutia vijana ajira ng’ambo kukoma.