Serikali yatetea matumizi ya teknolojia ya kutoa vitambulisho

  • | KBC Video
    14 views

    Serikali imetetea matumizi yake ya teknologia ya kutoa vitambulisho baada ya kufutilia mbali usaili kabla ya kupata stakabadhi hizo. Wakizungumza wakati wa uzinduzi wa muongozo wa upatikanaji wa vitambulisho kwa jamii za mijini na viunga vya miji, katibu katika wizara ya uhamiaji Balozi Julius Bitok na mwenzake wa wizara ya usalama wa kitaifa Raymond Omollo walisema machifu watawajibikia kitambulisho chochote kitakachotolewa kwa raia wa kigeni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive