Serikali yatetea uamuzi wa mashtaka ya ugaidi wakati wa maandamano

  • | KBC Video
    895 views

    Mkurugenzi wa mashitaka ya umma ametetea uamuzi wa kuwafungulia mashitaka ya ugaidi washukiwa waliokamatwa kwa kuteketeza na kupora mali ya umma wakati wa maandamano ya mwezi Juni na Julai. Afisi ya mkurugenzi mkuu wa mashitaka ya umma imesema mashitaka chini ya sheria ya kuzuia ugaidi, yanapaswa kueleweka kulingana na vigezo vya kisheria vilivyopo na masharti ya usalama wa kitaifa badala ya kuchukuliwa kuwa juhudi za kukandamiza semi za kisiasa, matamshi ambayo yaliungwa mkono na waziri wa usalama wa kitaifa, Kipchumba Murkomen.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive