22 Aug 2025 1:43 pm | Citizen TV 403 views Duration: 1:48 Serikali imezindua mpango wa kurejesha mifugo wa shilingi bilioni moja kwa familia zilizoathirika na ukosefu wa usalama, ukame na mafuriko katika kaunti 16.