Serikali yatoa shilingi 8B kwa wazee katika mpango wa Inua Jamii

  • | Citizen TV
    434 views

    Wizara ya Leba imetoa zaidi ya shillingi bilioni nane kwa wazee milioni moja nukta nne waliojisajili na mpango wa inua jamii nchini.