Serikali yatoa wito kwa wananchi wawakubali wahalifu wachanga walioachiliwa huru

  • | KBC Video
    38 views

    Serikali sasa inatoa wito kwa wananchi wawe wakiwakubali wahalifu wachanga ambao wameachiliwa huru. Katibu katika wizara ya usalama wa kitaifa, Dr. Raymond Omollo ambaye aliongea kwenye sherehe ya kwanza ya krismasi kwa wafungwa wa umri mdogo katika gereza la Kamiti alisema ipo haja ya kukabiliana na unyanyapaa dhidi ya wahalifu wa umri mdogo akisema hatua hiyo itasaidia kuzuia tabia kama hizo katika siku za usoni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News