Skip to main content
Skip to main content

Serikali yatoa zaidi ya ksh.2.4b za mpango wa Inua Jamii

  • | Citizen TV
    234 views
    Duration: 1:08
    Serikali imetoa jumla ya shilingi bilioni 2.4 kwa zaidi ya walengwa milioni 1.2 chini ya mpango wa inua jamii. Katibu katika idara ya ulinzi wa jamii, joseph m. Motari, amesema fedha hizo zinalenga kupunguza umaskini na kuboresha maisha ya wananchi wasiojiweza. Ameongeza kuwa zaidi ya walengwa milioni 1.5