Serikali yatwaa leseni ya kiwanda cha KEL Chemicals

  • | Citizen TV
    548 views

    Serikali imetwaa leseni ya kampuni ya KEL Chemicals inayodaiwa kusambaza mbolea ghushi hadi pale uchunguzi kuhusu suala hilo utakapokamilika. Waziri wa Kilimo Mithika Linturi alitangaza hilo alipozuru kampuni hiyo kubaini kiini cha magunia zaidi ya elfu tatu ya mbolea isiyofikia viwango vinavyohitajika kutoka kampuni hiyo iliyosambaziwa wakulima.