Serikali yawahakikishia wazazi usalama wa wanafunzi huku shule zikitarajiwa kufunguliwa juma lijalo

  • | KBC Video
    32 views

    Katibu katika wizara ya elimu anahusika na maswala ya elimu ya msingi Dkt Belio Kipsang amewahakikishia wazazi usalama wa watoto wao shule zitakapofunguliwa wiki ijayo kwa muhula wa pili. Akizungumza katika kongamano la kwanza ambalo litakuwa likiandaliwa kila mwaka kutathmini mtaala wa CBC, Dkt Kipsang alisema wizara ya elimu ni sehemu kundi la mashirika mbalimbali lililoagizwa na Rais William Ruto kushughulikia changamoto zinazosababishwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo mengi nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive