Serikali yawashirikisha wananchi katika mpango wa kulinda misitu Kilifi

  • | Citizen TV
    serikali kupitia kwa idara ya misitu imeanzisha mpango wa kushirikisha wananchi katika shughuli za kuhifadhi misitu nchini. Hata hivyo uhaba wa maafisa wa misitu bado ni changamoto ambayo serikali inakabiliana nayo. Zomolo Wanje na taarifa hiyo