Serikali yaweka mikakati ya kulinda data za kibinafsi

  • | Citizen TV
    150 views

    Katika juhudi za kuimarisha imani ya biashara za kidijitali, serikali ya kitaifa imeweka hatua za kuhakikisha ulinzi wa data za kibinafsi kwa wafanyibiashara wote nchini.