Serikali yaweka mikakati ya kupambana na Malaria

  • | Citizen TV
    174 views

    Serikali sasa imeweka mikakati ya kupambana na janga la malaria nchini ili kukomesha kabisa ugonjwa huo katika miaka sita ijayo.