Serikali yawekaa mikakati kuwahamisha Sudan

  • | Citizen TV
    1,893 views

    Serikali ya Kenya imeimarisha juhudi za kuwahamisha wakenya elfu tatu wanaoishi nchini Sudan zimeimarishwa, huku mapigano yanayoendelea nchini humo yakisababisha vifo vya watu 97