Serikali yazindua kampeni ya siku 10 ya kuwasajili wakazi wa Kikuyu ndani ya SHA

  • | NTV Video
    202 views

    Wizara ya afya kwa ushirikiano na mbunge wa Kikuyu Kimani Ichung'wa, imezindua rasmi kampeni ya siku kumi ili kuwafikia wakazi wote wa eneo bunge Hilo na kuwafahamisha na kuwasajili ndani ya bima ya afya mpya ya Social Health Authority.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya