Serikali yazindua maktaba ya umma eneo bunge la Matuga mjini Kwale ili kuinua viwango vya masomo

  • | Citizen TV
    146 views

    Serikali ya kaunti kwale kupitia idara ya maswala ya jamii na talanta imezindua maktaba ya umma ya eneo bunge la Matuga mjini Kwale ili kuinua viwango vya masomo.