- 310 viewsDuration: 1:08Kenya imezindua mpango wa kutathmini ukuaji wa biashara za wastani na ndogondogo katika kaunti zote 47. Mpango huu ulizinduliwa kwenye hafla ya mauzo ya Afrika maarufu chanuka jipange iliyofanyika katika ukumbi wa all Saints Cathedral hapa jijini Nairobi.