Skip to main content
Skip to main content

Serikali yazindua rasmi dawa ya kuzuia HIV, Duale awaonya kuhusu ongezeko la maambukizi

  • | Citizen TV
    549 views
    Duration: 3:12
    Waziri wa afya Aden Duale ameelezea hofu kuhusu kuongezeka kwa maambukizi mapya ya virusi ya HIV hususan miongoni mwa vijana. Akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi zoezi la usambazaji wa dawa mpya ya kuzuia maambukizi ya HIV, Waziri Duale amesema kuwa licha ya hatua zilizochukuliwa kuhakikisha kuna dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo, ipo haja ya kuwekeza zaidi katika mikakati ya kuhakikisha kuna kinga ya kutosha