Serikali yazindua ujenzi wa barabara ya Lami ya stage Griftu

  • | Citizen TV
    100 views

    Serikali imezindua ujenzi wa barabara ya lami ya Stage Griftu huko Wajir Mashariki , mradi unaolenga kuboresha uuchukuzi na kuchochea shughuli za biashara katika eneo hilo