Serikali za gatuzi zimelazimika kubadilisha bajeti zao

  • | Citizen TV
    293 views

    Katibu wa kaunti ya Nakuru Dkt.Samuel Mwaura, alikua na wakati mgumu mbele ya wakilishi wadi katika bunge la kaunti hiyo, kuelezea sababu za kutenga asilimia 10 ya fedha zitakazotumika Kwa bajeti ya kila miradhi kama fedha za kuwashirikisha na kuwahamasisha wenyeji wa maeneo ambapo miradi hiyo inafanyika