Serikali za kaunti zakumbatia teknolojia ya kilimo

  • | Citizen TV
    369 views

    Serikali za kaunti katika maeneo ya Mlima Kenya zimepitisha hoja ya kupiga jeko ukulima wa kisasa katika juhudi za kuzuia magonjwa na kuhakikisha utoshelevu wa chakula.