- 46 viewsDuration: 1:46Ukosefu wa sarafu moja na vikwazo vya usafiri ni baadho ya changamoto zinazotatiza biashara baina ya mataifa ya kiafrika. Wadau wa uwekezaji wametoa wito kwa serikali za kiafrika kutekeleza hatua zitakazoharakisha upatikanaji wa mtaji na kuwahimiza waafrika walio ughaibuni kuwekeza nyumbani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive