3 Mar 2026 1:42 pm | Citizen TV 149 views Duration: 1:30 Kutokana na ongezeko la idadi ya wagonjwa mahututi katika kaunti ya Trans Nzoia na maeneo jirani, Serikali ya kaunti hiyo imeongeza vifaa vya kushughulikia wagonjwa hao katika Hospitali ya Michael Wamalwa Kijana.