SHA: Grace Njoki alikamatwa kwa madai ya kusababisha usumbufu

  • | Citizen TV
    606 views

    Grace Njoki, ambaye alikamatwa hapo jana akitafuta huduma za matibabu katika hospitali ya ladnan mtaani eastleigh, ameachiliwa kwa dhamana ya polisi ya shilingi 10,000