Skip to main content
Skip to main content

SHA yajikuta mahakamani katika changamoto ya kisheria

  • | Citizen TV
    355 views
    Duration: 2:34
    Mamlaka ya Bima ya Afya ya SHA imerejea tena mahakamani kufuatia kesi iliyowasilishwa kupinga uhalali wake. Mkenya Francis Awino, aliyefungua kesi hiyo, anadai kuwa mamlaka hiyo inatekeleza majukumu kinyume cha sheria. Anaiomba Mahakama izuie SHA kukusanya ada kutoka kwa Wakenya, kufanya malipo au kutoa huduma kwa namna inayofanana na kampuni za bima.