Shabana FC wamemaliza ligi kwa alama 73

  • | Citizen TV
    543 views

    Shabana FC wamenyakua taji la supa ligi baada ya kuwalaza kisumu allstars ,mabao mawili kwa nunge uwanjani gusii kaunti ya Kisii.