Skip to main content
Skip to main content

Shabana FC yabwaga Mathare United 1-0 kwenye Uwanja wa Nyayo

  • | Citizen TV
    295 views
    Duration: 56s
    Timu ya Shabana Fc ilipata bao kadika muda wa lala salama na kuibwaga Mathare united kwa bao 1-0 kwenye mechi ya ligi kuu katika uwanja wa kitaifa wa nyayo. Hii ilikuwa moja ya mechi tatu za ligi kuu kuchezwa hii leo