Shabana yasalia hatarini ya kushushwa daraja licha ya kushinda mechi mbili kwa mpigo

  • | Citizen TV
    595 views

    Timu ya Shabana FC imesalia katika eneo la kushuka daraja licha ya kushinda mechi mbili kwa mpigo kwa mara ya kwanza tangu ilipopandishwa daraja hadi ligi kuu ya FKF. Shabana waliwafunga wenyeji Muhoroni Youth 2-1 katika mechi ya pekee ya ligi iliyochezwa Jumatatu.