Shabiki.com yatoa msaada wa matangi ya maji ya lita 10,000

  • | Citizen TV
    231 views

    Shabiki.com imetoa ufadhili wa matanki 60 ya lita 10,000 kwa taasisi mbalimbali za kijamiii nchini ili kupiga jeki juhudi za uhifadhi wa maji. Mkungurugenzi wa Shabiki.Com Fred Afune, amesema kuwa mashirika yanastahili kuwajibikia jamii