Shahidi aeleza jinsi Meja Mugure alivyotekeleza mauaji

  • | K24 Video
    16 views

    Meja Peter Mugure aliua familia yake na kuiweka miili yao katika buti la gari lake kabla ya kuizika kwenye kaburi la kina kidogo huko nanyuki. Hayo ni kwa mujibu wa ushahidi wa mfungwa Collins Pemba aliyeshirikiana na meja huyo kaytika kutekeleza ukatili huo.