25 Feb 2026 1:09 pm | Citizen TV 490 views Duration: 2:31 Shahidi aliyekiri kushiriki mauwaji ya shakahola ameendelea kutoa ushahidi huku akimhusisha kasisi mpotovu Paul Mackenzie kwa kutoa amri ya watu kufunga iliopelekea mauwaji ya halaiki msituni shakahola