Shahidi kwenye sakata ya Anglo Leasing atoboa uozo uliojiri

  • | KBC Video
    Hatua ya tume ya kuratibu mishahara na marupurupu ya watumishi ya umma ya kubadilisha mikopo ya magari kwa waakilishi wadi kuwa ruzuku sasa huenda ikaamuliwa mahakamani. Hii ni baada ya rufaa kuwasilishwa mahakamani kutaka utekelezaji wa ruzuku hiyo usitishwe hadi kesi hiyo itakapokamilika. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive