SHAJARA NA LULU | Simulizi ya faraja ya Abraham Ambani ambaye mkewe alikuwa na mwanaume mwengine

  • | Citizen TV
    398 views

    Mkewe Abraham alimwacha na mtoto mchanga na kuolewa na mwanamume mwengine. Hivi sasa Abraham Ambani anajiandaa kufunga ndoa