5 Sep 2025 11:23 am | Citizen TV 619 views Duration: 20:03 Virginia Wairimu anategemea taka kulisha familia. Mumewe alifariki na kumwachia ulezi wa watoto 5. Mmoja wa wanawe watano alifariki kwenye jalala Dandora. Jalala la Dandora ni tegemeo kwa tonge la kila siku.