Shakahola: Miili 8 yafukuliwa leo, Idadi jumla ikifika wafu 443

  • | NTV Video
    412 views

    Kuna zaidi ya vitengo vitano vya serikali ambavyo vinahusika na ufukuzi wa miili ya wafu huko Shakahola, maafisa hao kutoka idara ya DCI wakitumia mbinu tofauti kutafuta miili na hata ushahidi zaidi. Kila jambo linafanywa kwa utaratibu kuanzia uchimbaji makaburi hadi usafirishaji wa miili ya wafu. Hii leo ni miili 8 imepatikana, Idadi jumla ikifika wafu 443

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya