Skip to main content
Skip to main content

Shamba la Opoda lashuhudia wageni kutoka pembe tofauti ya nchi waliofika kuomboleza kifo cha Odinga

  • | Citizen TV
    1,722 views
    Duration: 3:15
    Shamba la Opoda huko Bondo nyumbani kwa hayati Raila Amollo Odinga imeshuhudia wageni kutoka pembe tofauti ya nchi waliofika kuomboleza kifo cha Odinga. Viongozi wa kisiasa walikuwa miongoni mwa waliofika kuifariji familia ya Odinga. Wote wakimtaja mwendazake kama kiongozi ambaye siku zote alipigania maslahi ya wananchi.