Shamba lageuzwa shamba katika kaunti ya Kakamega

  • | TV 47
    Wakazi wa Matunda bunge la Likuyani kaunti ya Kakamega wameandamana na kufunga barabara kwa kupanda migomba ya ndizi wakilalamikia ubovu wa barabara hiyo. #TV47OnDSTV