Shambulizi la Wahouthi lasababisha vifo vya watu kadhaa
Jeshi la Marekani limesema Shambulizi la kombora lililofanywa na Wahouthi kwenye meli ya biashara ya bahari ya sham jumatano limesabaabisha vifo vya watu kadhaa.
Waasi wa Kihouthi wa Yemen wamedai kuhusika na shambulizi hilo, wakati msemaji wa jeshi amethibitsh ahilo kwenye maelezo yake kwenye televisheni.
Shambulizi hilo limesababisha moto katika meli inayomilikiwa na Ugiriki yenye bendera ya Barbados ya True confidence karibu maili 50 kutoka pwani ya bandari ya Yemen huko Aden.
Haya ni matukio ya kwanza ya vifo kuripotiwa tangu wa- Houthi waanze mgomo dhidi ya usafiri wa meli katika mojawapo ya njia za baharini zenye shughuli nyingi zaidi duniani katikati ya Novemba.
Wamesema wanafanya kazi kwa mshikamano na wapalestina kupinga hatua za kijeshi za Israel huko Gaza.
Uingereza na Marekani zimekuwa zikifanya mashambulizi ya kulipiza kisasi dhidi ya waasi wa Houthi na uthibitisho wa vifo unaweza kusababisha shinikizo kwa hatua kali za kijeshi.
#Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen
11 Aug 2025
- Special trade agreements between Kenya and the UK allow the export of both goods and labour.
11 Aug 2025
- This comes a day after the case was reported at the Capitol Hill Police Station.
11 Aug 2025
- KUPPET claims that TSC should follow in the footsteps of the National Police Service.
12 Aug 2025
- The Senate’s attempt to extend its oversight beyond its constitutional mandate raises concerns.
12 Aug 2025
- KICD says learners who want to pursue Core Mathematics must have met or exceeded expectations throughout their primary and junior school assessments.
12 Aug 2025
- How Jose Mourinho influenced McCarthy in defensive artistry
12 Aug 2025
- Hustler Fund, e-Citizen: Stop denials and embrace honest conversations
12 Aug 2025
- Ruto puts banks to task over constant high lending rates
12 Aug 2025
- Unbowed Lagat returns despite murder probe
12 Aug 2025
- Inside school walls: The hidden reality of forced pregnancy tests, searches
12 Aug 2025
- Fertiliser subsidy: A double-edged sword driving firms out of business
12 Aug 2025
- Nairobi Hospital suspends price hikes after insurers' outcry
12 Aug 2025
- DAP-K convenes crisis talks as Wamalwa, Natembeya rift widens