- 56 viewsHezbollah imefyatua makombora kuelekea Israel, huku jeshi la Israeli likisema limezuia baadhi ya makombora hayo wakati mengine yalianguka katika eneo la wazi bila ya kuleta uharibifu au vifo. Kiongozi wa Hezbollah Sayyed Hassan Nasrallah alisema wakati akitoa hotuba Jumatano kuwa kikundi cha wanamgambo hao watalenga maeneo mapya ndani ya Israel iwapo majeshi ya Israeli yataendelea kuua raia. Shambulizi lililofanywa na Israeli Jumanne liliuua raia watano wa Syria huko kusini mwa Lebanon. Mapigano ya mpakani kati ya Israel na Hezbollah yameongeza wasiwasi kuhusu mgogoro mkubwa zaidi kuzuka katika kanda hiyo huku majeshi ya Israeli yakiwa pia yanapigana na Hamas ndani ya Ukanda wa Gaza. Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin na Waziri wa Ulinzi wa Israeli Yoav Gallant walijadili mapigano yanayo endelea kati ya Israel na Hezbollah wakati wa mazungumzo waliofanya kwa njia ya simu Jumanne, Wizara ya Ulinzi ya Marekani ilieleza. Msemaji wa Pentagon Major General Pat Ryder alisema katika taarifa yake kuwa mawaziri hao wa ulinzi pia walizungumzia kuhusu kivuko cha muda kilichojengwa na Marekani katika pwani ya Gaza ili kuwezesha misaada ya kibinadamu kuwafikia raia wa Palestina. - AFP, Reuters #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen #hospitali #nasserhospital
Shambulizi
- - 🔴 TV47 LIVE ››
- - 2025 08 09 21 18 16 ››
- 10 Aug 2025 - Energy Principal Secretary Alex Wachira has said that electricity vandals were on the rise thereby causing economic sabotage in the country disrupting services and endangering communities and hence called on security to put efforts in tackling the vice.
- 10 Aug 2025 - India shot down five Pakistani fighter jets and one other military aircraft during clashes in May, India's air force chief said on Saturday, the first such statement by the country months after its worst military conflict in decades with its neighbour.
- 10 Aug 2025 - Haiti's former national palace security chief, Vladimir Paraison, was appointed national police chief by the country's transitional government on Friday, as the Caribbean nation looks to battle armed gangs that have displaced over a million people.
- 10 Aug 2025 - The commerce department has started issuing licenses to Nvidia to export its H20 chips to China, a U.S. official told Reuters on Friday, removing a significant hurdle to the AI bellwether's access to a key market.
- 10 Aug 2025 - Colombian president Gustavo Petro announced Friday the start of fresh talks with Clan del Golfo, the country's largest drug-trafficking gang and the world's largest producer of cocaine.
- 10 Aug 2025 - DP Kindiki's national economic empowerment programme stirs debate
- 10 Aug 2025 - Pride is our nation's real pandemic and only humility can save leaders
- 10 Aug 2025 - 'Dr Aden' fears journos' questions more than a cold July morning
- 10 Aug 2025 - How Ruto's goofs created a US-China dilemma
- 10 Aug 2025 - Trump's hand in relocation of UN bodies from New York to Nairobi